Pages - Menu

Jumatano, 24 Aprili 2013

GIRLS KISSING????: CHEKI VIDEO MPYA YA MADEE "POMBE YANGU" ILIVYO WAZALILISHA WANAWAKE

nisiku chache sasa zimepita toka MADEE alipo toa video ya ngoma yake inayo fahamika kama POMBE YANGU yameongelewa mengi sana kuhusu video iyo wengi sana wakikasilishwa na kipande kimoja ndani ya VIDEO hiyo kikionyenya wasichana wawili wakiwa wanapigana makisi kwa lugha ya uswazi ni kusagana jambo ilo limewafanya adi wazazi wakiwakataza watoto wao kuangalia VIDEO iyo ambayo aina maadali kabisa 

pili watu walizungumzia kuhusu story ya nyimbo aiendani na video kabsa iyo kwa maana iyo madee anatakiwa ajipange tena wadau wameisanukia video yake.

CPWAA: NGOMA YANGU "REVENGE" NI YA KITAMBO KWENYE ALBUM YA "PWAA THE ALBUM" SIO MPYA IMETOKA BILA RUHUSA YANGU




Inaonekana mtindo wa kutoa ngoma za wasanii bila ruhusa zao umekua kama kawaida siku hizi, wasanii kadhaa wamesikika wakilalamika kazi zao kusikika redioni na kwnye mitandao mbalimbali bila rusa yao, leo hii msanii Ilunga Khalifa aka Cpwaa, ameonekana kushangazwa na ngoma yake "Revenge", kutoka katika album yake "Pwaa The Album" bila ruhusa yake, na kupitia ukurasa wake wa facebook ameomba watu wasichukulie kama ndio ngoma yake mpya, bali ni imetoka bila ruhusa yaken na kuweka sawa kuwa kazi zake mpya zitaanza kusikika kuanzia mwezi wa 7.

CORRECTION: Sijatoa ngoma mpya toka nitoe "Double releases" mwaka jana, najua wengi wameona kwenye blogs mbalimbali kuna ngoma yangu mpya "REVENGE"...well lile pini ni la kitambo na lipo kwenye album yangu ya "Pwaa The Album" iliyotoka mwaka 2011, ngoma ni nyeusi sana sikuiitoa sijui imekuaje imetolewa juzi juzi bila mawasiliano na mimi! Its..ok ila siku ingine tuwasiliane!..Ngoma zangu mpya zitatoka kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu..kwa sasa tuko jikoni. Asanteni na tuko pamoja! hakijaharibika kitu ( This is on my behalf of my Management) #Under-Rebranding

PICHA YA WEMA SEPETU YAZUA GUMZO MITANDAO YA JAMII

Ikiwa ni mda mchache tu baada ya kupost picha zake zenye kuonyesha wazi sehem za tumbo na kifua kupitia Instagram, picha ya wema imeonekana kusambaa kwa haraka zaidi kupitia mtandao wa jamii "facebook" huku kila mmoja akitoa maoni yake kutoka na mtazamo wake.




Obedy Bernard Hakika Ney wa mitego hakukosea, makahaba wenye vwango wako bongo move. Wema ni mfano tosha usio pngika kwa hilo. Halafu inakuwaje mwanatme mwenye akili zako umshobokee kahaba kama huyu? Yaani zkitoka tunzo za khb bora tz huyu malaya hatakuwa na mpinzani.

Timoth Kalavuze wema noma xnaa!!!

Hija Punch Boy Mbogo no one like you i love you wema sepetu waache waogee 2 kwamba wewr malaya kwangu wewe ni namba moja

Paul  Hamna kioo cha jamii bali ktanda cha jamiiShangal

Shabbani Saidi daaaaaaaaa ujuwe dada zetu wana tabu sana naiyote kutaka kufosi kuwa maalufu kama watu wa mbele kumbe awajui kama wana jizalilisha kwani lazima uwe malufu na tama ina wapoza kk tuseme ukweli bwana

Mary Talalela usi judge na ku-coment bad about her mwache ahave funny nyie mnajua wake au magirlfnd zenu huwa wanafanya nini nyuma ya pazia ....? sibora wema .... i love u baby wema sana shoo what u have.
kupitia Instagram wema alipost picha hiyo ikiwa na maneno haya " gats to lose me a few more pounds"

DIAMOND AMTOLEA NJE WEMA NA KUMPAMBANISHA NA PENNY AMRIKODI NA KUMSAMBAZA CLIP



Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema Diamond na Penny imefika ndani ya blog yako, clip ambayo inaonekana kurecodiwa kwa maksudi na Diamond pale alipopigiwa simu na Wema Sepetu jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia simu Diamond usiku,lakini baada ya Diamond kupokea alimtaka kuacha drama na kumsisitizia kuwa sasa hivi anampenda Penny.

maongezi yako hivi

Diamond: mi sikufanyii drama na wala sitaki drama yoyote, am inlove with penny we unajua hilo right?
Wema: yeah your inlove with penny and i i ...

Diamond: sipendi kwasababu sipendezewi kwasababu mwisho wa siku itakuja kutuletea matatizo drama, nakujua kitu kidogo hukawi kukifanya kikubwa mji mzima na nini na nini sitaki.

Penny: hallo, which one is this? hallo hallo
Wema: mmmh
Penny: hallo
Wema: mh
Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale
Wema: uko poa
Penny: niko poa mamy yangu, can you let us sleep now mmh, si hatutaki matatizo na wewe we usitake matatizo na sisi, lets just live one happy life

Wema: he told you am the one who is troubling him

Penny: yeah but you are always trying to cause trouble wema, your always trying to cause trouble, when did you want something peaceful,when? i mean when he said look here, when he said, he is in love with me, i dont know, for some reasons i expected you to respect that, because all you have done is to bring us trouble, seriously, and all this things you do, they tell us kwamba wewe ndio unafanya, so lets just see......you sleep, us guys sleep, and act like this comversation never even happened, good night, good night, wema , wema (kimya)
Diamond: nadhani dishi wenyewe mmelisikia, haina haja ya kuongea sana, mmewasikiliza, tulikuwa niko mimi halima kimwana, na mke wangu hapa, mimi ndio nimepigiwa simu na wema nabembelezwa, bahati mbaya kakuta nambaya, pia nikampa baby aongee nae, kumjulisha jinsi gani niko inlove, asanteni sana nilikua narecord mi mwandishi wako Nasib Abdul Juma, nashkuru sana sana



          SIKILIZA IYO SIMU KWA HAPA CLICK HAPO CHINI KWEMYE IY        
            I'm listening to U_HEARD_16TH_APRIL_2013_www_djfetty_blog... @Hulkshare:


baada ya clip hiyo kuskika Sudy Brown alimpigia wema na kuongea nae juu ya hil..

Wema: Mi sijaongea na mtu jana, like us in aaah nimee no as in nimeambia halafu sikujua kama iko iko this big, kama wananichokoa wapate kiki, kwasababu wanaona kama hawana kiki then thats something else unajua eeh, kiki watafute sehem nyingine sio kwa wema sepetu, sawa mi ninajijuwa me am a star, am a star like all over tanazania hakuna star kama mimi sawa eeh, kwahiyo kama wanaona kama wanaweza kupata kiki kwa kutokana mimi kama star because they are looking for names, thats fucked up owkey. Sudy mi nakuheshimu sana wewe na nnajiheshimu sana na mimi mwenye...........
sitaki kuanza kuchokonolewa kuanza kutengenezewa sijui vitugani, mi nimeskia tu kupitia bbm sijui nimekaa tu kimya, am just quite na sijafanya kitu chochote am just quite, and am just going to stay quite, na usingenipigia simu mi ningeendelea kukaa kimya.
Sudy: skia bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda, wewe
kumtamani?
Siwezi
kwanini?
hasa wa kazi gani mi nishadili na Diamond and its done, haikuwa rizki kila mtu ameenda na mambo yake, am very very happy where iam......

Diamond nae alivutiwa waya, chezea Sudy wewe
ile clip ilikuwa jana, jana kanipigia simu usiku naona simu yangu inaita aaah najiuliza nani, napokea aah akawa anibembeleza nini na nini yeah, mi nikamwambia wema mi nina mahusiano yangu sasa hivi..........uzuri nilikuwepo na baby pale pale, ili kesho na kesho kutwa asije kukataa, nilimrikodi mwanzi mwisho......

Sudy: Wema anasema we utakuwa unatafuta kiki
Diamond: mimi? mi nayeye nani anatafuta kiki, yeye si ndio kanipigia simu, ye ndo atakua anatafuta kiki ya kutaka kurudiana na mimi, kanipigia simu jana usiku akinibembeleza kurudiana na mimi ndio maana nikampa simu mke wangu nkamwambia ongea nae........

ENDLESS FAME PRODUCTION BADO KUNA NAFASI YA KAZI (SECRETARY POSITION)



UNA UJUZI........UZOEFU NA UELEWA WA KAZI YA SECRETARY ...NAFASI BADO INATOLEWA NA ENDLESS FAME.. LETA BARUA YA MAOMBI UKIAMBATANISHA PASPOT SIZE PICTURE NA FULL PICTURE OFISINI KWETU......

ENDLESS FAME PRODUCTION MWANANYAMALA KOMAKOMA.

Jumamosi, 20 Aprili 2013

HII NDO VIDEO KAMILI YA MADEE - POMBE YANGU!!!!!! INAONYESHA KUANZIA MWANZO

                                           
                                                         

Jumatano, 17 Aprili 2013

BREAKING NEW KUHUSU BIBI KIDUDE AMEFALIKI DUNIA


BIBI KIDUDE AKIWA NA SHABIKI YAKE ENZI ZA UHAI WAKE

BIBI KIDUDE AKIWA KATKA PICHA YA POZI

BIBI KIDUDE WAKAT AKIWA ANAUMWA

 BIBI KIDUDE AKIWA STUDIO ANALEKOD BAADHI YA NYIMBO ZAKE AMBAZO ZINAKUWAGA NA UJUMBE MZURI SANA


BIBI KIDUDE AKIWA ANAPGA NGOMA







TAARIFA ZA UHAKIKA HIVI SASA KUWA BIBI KIDUDE AMEFARIKI ILA HABARI KAMAILI BAADAYE.

Alhamisi, 11 Aprili 2013

KINGKAPITA FT GODZILLA

     

                        VIDEO MPYA

YOUNG KILLER NEW VIDEO



                                     YOUNG KILLER FT BELLE 9                DEAR GAMBE

R.I.P KANUMBA N SHAROBARO

BEST KANUMBA COMEDDY WITH SHAROBARO--LOVE & POWER

2NAWAKUMBUKA SANA PENGO LENU MPAKA LEO BADO ALIJAZIBIKA.

SHILOLE ANASWA NA BWANA MZUNGU

 Siku chache baada ya kuripotiwa akijiachi kimalavidavi na 'lejendari' wa Bongo fleva, Aboubakar katwila, staa wa muziki na filamu bongo, ZUWENA MOHAMED 'SHILOLE' Amenaswa hotelini na bwana MZUNGU aliyejulikana kwa jina moja GEORGE kamera za WAKUPENDEZA.BLOGSPOT.COM ni NOMA




 SHILOLE NA MZUNGU WAKE WAKIWA KATIKA PICHA YA POZI



 MZUNGU KACHUKUA MTOTO KILAINI SHILOLE KUSHINEI


SHILOLE AKIWA SHOPING NA MPENZI WAKE MZUNGU






Jumatatu, 8 Aprili 2013

KAJALA: AMLIPA WEMA FADHILA KWA TATUU MGONGONI

Baada ya hivi karibuni msanii wa filamu bongo, wema sepetu kumlipia kajala masanja faini ya shilingi milioni 13 ili asiende jela kwa kesi iliyokuwa ikimkabili, kajala ameamua kulipa fadhila kwa kujichora tatuu ya jina la WEMA mgongoni mwake.

LULU ATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU STEVEN KANUMBA (KINONDONI) KWENYE KUMBUKUMBU YA MAREHEMU KANUMBA

LULU AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI WALIPO TEMBELEA KABURI LA MAREHEMU KANUMBA'



                    WAKIMUOMBEA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

               
               SHADA LA MAUWA LIKIWEKWA KABURINI

                       



LULU AKIENDELEA KUMLILIA KANUMBA HUKU MAMA KANUMBA AKIWEKA SHADA LA MAUWA KWENYE KABURI LA MWANAE 




                      
 LULU NA MAMA YAKE MZAZI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

         WAIGIZAJI MBALIMBALI KWENYE KUMBUKUMBU YA MAREHEMU KANUMBA






KITAA KWA KITAA


nilipita kitaa fulani nikakutana na msanii ambaye ana ndoto yakuwa star ila ajui afanyaje ili afanikiwa ebu muone kwenye iyo video alafu umpe ushauli

ney wa mitego ft diamond-muziki gani

       


sikiliza korabo kali ya ney na diamond hapo online

diamond


MANCHESTER CITY AMTWANGA MAN U

MAN CITY WAENDELEA KUWAPA MAN U KICHAPO KAMA KAWAIDA YAKE LEO MAN CITY AMEIFUNGA MAN U MBILI KWA MOJA

ONGEREN SANA MASHABIKI WA MAN CITY NA POLENI MAN U

Jumapili, 7 Aprili 2013

HAPPY BRITHDAY TWALIB KIZIBO